MUM ni Familia, Asanteni sana Watumishi wetu
Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro kwa kipindi chote wamekuwa pamoja kuhakikisha wanafunzi wetu wanatimiza Malengo yao na Taifa kwa Jumla.
Tabasamu hili linaashiria umoja na Mshikamano
Unapomleta Mwanafunzi Chuoni hapa tegemea umemleta sehemu salama, Asanteni sana kwa kuendelea kutuamini.