Hongera sana Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mussa Assad kwa usimamizi bora.
Katika nafasi yako kama Makamu Mkuu wa Chuo (VC), Wataalamu wengi wamezalishwa hapa Chuoni na kulitumikia Taifa katika maeneo mbalimbali.
Tunamuomba MwenyeziMungu azidi kukupa Moyo wa kujitoa kuhakikisha Uhai na Ustawi wa Chuo unaimarika.