MUM News and Events

Dirisha la Usajili wa Masomo ngazi ya Degree (Shahada) na Master (Shahada ya uzamili) Limefunguliwa, Tuma Maombi yako sasa!

Posted on: 24 July, 2024

Tuma maombi yako kujiunga na Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro katika Mwaka wa Masomo 2024/25. 

gusa kiunganishi (link) hiki kutuma maombi https://application.mum.ac.tz/