Dirisha la Usajili wa Masomo ngazi ya Certificate (Astashahada) na Diploma (Stashahada) Limefunguliwa, Tuma Maombi yako sasa!
Tuma maombi yako kujiunga na Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro katika Mwaka wa Masomo 2024/25.
gusa kiunganishi (link) hiki kutuma maombi https://application.mum.ac.tz/