MUM News and Events

Tunajivunia kuwa nawe Mtoto wetu CHEKENI, Malengo yako yatatimia Inshaallah!.
Posted on: 04 July, 2025

Licha ya kutokuwa na Mikono, haikuwa sababu ya kutosha Binti huyu Chekeni kushindwa kupambania Malengo yake.

Hakika sisi Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro na Wadau wengine tupo pamoja nawe k...

Karibu nyumbani Balozi Dkt. Ramadhan Dau.
Posted on: 04 July, 2025

Balozi Dkt. Ramadhan Dau (katikati mstari wa nyuma) katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro mbele ya Jengo la Utawala alipofika Chuoni hapa.

MUM ni Familia, Asanteni sana Watumishi wetu
Posted on: 04 July, 2025

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro kwa kipindi chote wamekuwa pamoja kuhakikisha wanafunzi wetu wanatimiza Malengo yao na Taifa kwa Jumla.

                                     

Hongera sana Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mussa Assad kwa usimamizi bora.
Posted on: 04 July, 2025
Kwa kipindi cha takribani Miaka 4 sasa amekuwa tayari kupambana kuhakikisha Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro kinakuwa sehemu bora kwa vijana wa Kitanzania kupata Elimu bora na Maadili.


...