Katibu mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles D. Kihampa akipata maelezo kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.